Serikali ya Tanzania yasema haitafuti tozo kwenye daraja la Kigamboni – China Radio International Kiswahili


China Radio International Kiswahili

Serikali ya Tanzania yasema haitafuti tozo kwenye daraja la Kigamboni
China Radio International Kiswahili
Serikali ya Tanzania imesema kuwa haitafuta tozo inayotozwa katika daraja la Kigamboni kwa kuwa fedha hizo zinatumika kulipa sehemu ya deni la mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Watu ...

News

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *