Diwani wa Chadema kata ya Mjimwema ajiuzulu, ahamia CCM – Mwananchi Communication Limited


Mwananchi Communication Limited

Diwani wa Chadema kata ya Mjimwema ajiuzulu, ahamia CCM
Mwananchi Communication Limited
Diwani wa Kata ya Mjimwema Chadema, Selestine Maufi ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kujiunga na CCM. Akizungumza na Mwananchi leo Agosti 11 Katibu wa Chadema Wilaya ya Kigamboni Magese Saimoni amethibitisha kuhama kwa diwani huyo ...

News

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *