Daraja la Kigamboni lazinduliwa rasmi – China Radio International Kiswahili


China Radio International Kiswahili

Daraja la Kigamboni lazinduliwa rasmi
China Radio International Kiswahili
Daraja la Kigamboni linalounganisha mji wa Dar es Salaam na Kurasini ambalo limejengwa na kampuni ya ujenzi na uhandisi wa reli ya China CRCEG, limezinduliwa rasmi na Rais John Magufuli. Daraja hilo lenye urefu wa mita 680, upana wa mita 32 na ...

News

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *