About

The Kigamboni New City is an ambitious project being overseen by the Tanzanian Government Ministry of Lands. It will be situated in the Kigamboni district which is to the south of the city of Dar Es Salaam. It will be linked to Dar Es Salaam by a new bridge.

[yframe url=’http://www.youtube.com/watch?v=Jh2jQcnWcQo’]

12 comments


 1. KIGAMBONI RESIDENTS WE ARE IN A MESS. WHOSE BENEFIT DOES THE PROJECT SERVE? SERIOUSLY I DONT TO HEAR THAT IT S A PROJECT FOR WANAKIGAMBONI. SINCE WHEN DOES THE JKGOVERNMENT CARE ABOUT THE PREDICAMENT OF THE CITIZENS. WE DONT WANT THE PROJECT SINCE IT IS A MESS. WE ARE UNABLE TO REVERSE WHAT THIS DICTATORIAL GOVERNMENT HAS DECIDED. MY APPEAL TO THIS TO KIKWETE, GIVE US WHAT BELONGS TO US THE DOWNTRODDEN SO THAT WE MOVE TO PLACES WE DESERVE. DOWN WITH TANZANIA, EVERYONE NI MAGAMBA TU/fisadi

  • true, hilo ni changa la macho tu na sisi tusivyokuwa na uelewa wa mambo tunashangilia.
   wanaboresha maeneo ya zamani ambako atleast kumejitosheleza badala ya kwenda vijijini kwenye hali mbaya ya maisha.

  • lauradet

   I agree. I have stated the same position on Youtube and have been met with vulgar and disrespectful responses from people who are interested in selling their homes for a high price, and only think that the project will help citizens increase their chance of becoming gardeners and housemaids. I am so against this development. It is a seer pleasure to see citizens, like yourself, fighting for what is about to become a place for the wealthy only, like Oyster Bay. The impoverished will have no place in Kigamboni’s gated wealthy community. And to destroy a pristine inland is a travesty.

 2. acheni ndoto za mchana haikua mji wa daresaalam mulio achiwa na muengereza mume shindwa kuuendeleza mpakahiileo hauna maji, hauna vyoo,hauna umeme, barabara mbovu mifereji ya maji machafu ina vuja kila pahala mvua zikinyesha kariakoo hakupitiki mabwawa ya maji machafu kilapahala, jee? hivi nikweli naina kuingia akilini yakuwa wataijenga kigamboni kamawanavyo jigamba na kuonesha watu picha zinazo chorwa na wataalamu wanaojuakutumia computer,kama mnaari tendeni tuone.

 3. sio maji gambo domo tindi na kutia watu wa kigamboni tamaa zisizo namsingi wowote na kuwazuilia maeneo yao kuto yaendeleza ,mimi naona bora muwaruhusu wananchi wenyewe waendeleze maeneo yao, kamakweli mnayataka mkiwa ta yari mkikubaliana na bei yake atakuuzieni kama walivyo fanya watu wa mji wa mumbai.

 4. abaroteli

  jaribuni kuwadanganya wananchi ukweli ni kwamba tanzania tunadanganywa

 5. abaroteli

  sio mbaya tunasubiri matokeo

 6. Bonjocker shy

  Acheni hizo serikali mbona u kama kigeugeu unajua mi sina imani na serikali yangu tena hasa kwa jinsi mnavyo tunyanyasa kwani hao watu wa kigamboni si watu kwanini mwatenge kiasi hicho kwani mkiwachengea hizo nyumba wakakaa hao kuliko kuwapa pesa wakanunue sehemu zingine huoni kua sasa nchi inauzwa taratibu kama vp nikatieni nami kamji ka arusha au rock city nikamiliki nami niweke bustani rock city yote dah aisee mi naasira sana itakuaje muwatoe waasisi wa kigamboni kama si wao mngejuaje mjini wa kigamboni ili tuwe sawa wajengeeni haohao waliopo kigamboni hapo tutakua sawa kama tukiwatendea haki kumbukeni hapo ndio tunakuza tabaka la walionazo na wasionazo.

 7. Mtanganyika

  Mpango huu unawezekana ila nina hakika utachukua muda wa miaka 200 au zaid.Hivyo mimi naendelea kujenga eneo langu bila wasiwasi wowote.

 8. emmy mwimanzi

  itakuwa ajabu sana kama wananchi wa Kigamboni tutadhulumiwa hilo serikali isahau kabisa safari hii tutatafuta wanasheria kibao kutusimamia . siku moja nilikuwa narekebisha ukuta nikaambiwa acha umesimamishwa kufanya lolote kwenye nyumba yako . UNYANYASAJI HUO NI WA HALI YA JUU SANA MWOGOPENI MUNGU SANA NYINYI VIONGOZI

 9. no hurry in tanzania … iyo danganya toto/// apo si pa kuachia kiraisi.. kama vip waende kigoma na other interior uko watapata maeneno makubwa zaid ya kuwekeza.. appo n kuwa wanajenga mazingira ya kupeleka raw material kwako kiraisi
  … msikubali wazalendo.. nipo pa 1 nanyiii

 10. On my view i dont understand why this govt announced stop order then nothing going on,the fact is, not anymore progress despite the mass rebellion which shall come to cast their votes to opposition party,they told us we will negotiate with investors to make jointventure, sasa wawekezaji wenyewe wako wapi?
  Kama kweli wana mpango huo mbona NSSF,National Housing,NMB,na wadau wengi tu wa maendeleo hawajaweka mkataba na yeyote zaidi ya kuweka ATM jeshini, Mwalimu Nyerere Academy na baadhi ya petrol station?Tuanzie na wawekezaji wa ndani,kina Bakhresa,Mengi,Manji,CRDB,EXIM na wa aina hiyo,waweke makubaliano na wenyeji wenye maeneo yanayowafaa tuweke mikataba ya biashara kama tuonavyo huko mjini Dar,mfano Nyumba ya Sanaa wana mkataba na NMB,Red Cross na National Housing,Mheshimiwa fulani na Kampuni fulani.Tunataka maboresho ya mji na watanzania wapo wengi wa kuboresha,nenda Quality Centre,Mlimani City,SHOPERZ PLAZA sehemu nyingine zilikuwa mabwawa ya mbu!,we can build our own City without any rebellion if we can let people choose their future themselves, if they want to go out the city or sign joint venture with investors.(kwa sababu wengine hawapendi maisha ya miji,kelele na harakati zake),
  Kigamboni ya zamani isiyopimwa inaoza,inatia aibu kwa kuwa ipo karibu na ikulu ya Rais wetu na tusipoupanga mji wetu vizuri sisi wenyewe nani atatupangia?Sipendi kukatiza mtaa kisha nakutana na passport size ya kiwiliwili ndani ya choo cha makuti,wengi wamejenga katika mabwawa ya mpunga ikinyesha mvua kipindpindu uua watu sana!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *